Posts

Showing posts from June, 2021

PURE CASTOR OIL PRODUCT

Image
  KINNAH PURE CASTOR OIL PRODUCT Ni mafuta ya asili yaliyotengenezwa kwa mmea wa asili wa mnyonyo husaidia:- 1.     Kukuza nywele kwa haraka. 2.     Kuzuia nywele kukatika 3.     Kujaza na kulainisha nywele 4.     Kuondoa mba na muwasho. 5.     Kuondoa michirizi. 6.     Kulainisha ngozi ya mwili Tunakufikishia mzingo popote ulipo bila usumbufu wa aina yoyote ile kwa mawasiliano Na. 0674341034 kwa wakazi wa Morogoro mjini wanafikishiwa bure bila gharama zozote zile za usafirishaji.

JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM LAINI NA TAMU SANA

Image
  JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM LAINI NA TAMU SANA MAHITAJI 1.       Unga wa ubuyu 1/2 2.       Sukari 3/4 3.       Unga wa muhogo vijiko viwili (2) vya chai 4.       Rangi aina yoyote uipendayo ya chakula 5.     Maji lita 5 6.      Radha 7.      Mifuko ya kufungia   HATUA 1.      Weka unga wa ubuyu kwenye sufuria lako la kuchemshia pamoja na unga wa muhogo hii husaidia Ice Cream zetu ziwe laini, wengine hutumia Coin Flower. 2.     Acha ubuyu uchemke huku ukiukoronga koronga mpaka uwe mzito. 3.     Ubuyu unatakiwa upoe kwa dakika 5. 4.     Uchuje ubuyu  5.     Ukiwa tayari unatakiwa uchanganye sukari, rangi pamoja na radha uipendayo kama vile Straberry, Orange, Pinepple n.k. 6.     Ice Cream zetu zitakuwa ziko tayari kwa kufunga na kuwekwa kwenye Friji kwa ajili ya kuuza.